4.2
Maoni elfu 66.3
10M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii


Intra hukulinda dhidi ya ughushi wa DNS, uvamizi wa kimtandao unaotumiwa kuzuia ufikiaji wa tovuti za habari, mitandao ya kijamii na programu za kutuma na kupokea ujumbe. Intra pia hukulinda dhidi ya programu hasidi na uvamizi unaonuwia kuiba data yako binafsi. Inaweza kutumiwa kwa urahisi na mtu yeyote — unaweza kuiwasha kisha uendelee na shughuli zako. Intra haitapunguza kasi ya muunganisho wako wa intaneti na hakuna kikomo cha matumizi ya data.

Ijapokuwa Intra hukulinda dhidi ya ughushi wa DNS, kuna mbinu zingine changamano za uzuiaji na uvamizi ambazo Intra haiwezi kukulinda dhidi yake.

Pata maelezo zaidi katika https://getintra.org/.

Vipengele
• Uwezo wa kufikia kwa njia wazi tovuti na programu zilizozuiwa na ughushi wa DNS
• Hakuna vikomo vya matumizi ya data na haitapunguza kasi ya muunganisho wako wa intaneti
• Weka maelezo yako yawe ya faragha — Intra haifuatilii programu unazotumia au tovuti unazotembelea
• Weka mapendeleo yako kwenye mipangilio ya mtoa huduma wa seva yako ya DNS — tumia wako au uchague miongoni mwa watoa huduma maarufu
• Ikiwa programu yoyote haifanyi kazi vizuri na Intra, unaweza kuzima Intra kwa ajili ya programu hiyo mahususi
• Programu huria
Ilisasishwa tarehe
3 Apr 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Shughuli za programu na nyingine2
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.3
Maoni elfu 64.2

Mapya

- Added new protection against SNI-based blocking, which should unblock sites that were previously blocked.