Jifunze Kiingereza, Kispeni, Kijerumani, Kichina, Kifaransa, Kirusi na lugha nyingine 28 BURE na nje ya mtandao ukiwa na FunEasyLearn.
Jifunze KUSOMA 📖 KUANDIKA ✍ KUONGEA 🗣 lugha kwa njia rahisi na inayoburudisha. Gundua kozi kubwa zaidi za kujifunza lugha ili uweze kujifunza kwa urahisi kanuni zote za kusoma, maneno yote muhimu na virai vyote vinavyotumika mara kwa mara.
Yaliyomo:
🔠 ALFABETI (Herufi + Kanuni Zote za Kusoma + Kasoro): soma neno lolote katika lugha mpya;
🆕 MANENO YOTE (yanasasishwa kila mara): nomino, vitenzi, vivumishi, nk, vilivyoainishwa katika mada 26 na mada ndogo 157;
🈚 VIRAI 5,000 (vinavyotumika mara kwa mara): vimeainishwa katika mada 20 na mada ndogo 120 zinazogusa nyanja zozote za maisha ya kila siku au safari.
Unaweza kujifunza lugha 34: Kiingereza, Kiingereza cha Marekani, Kifaransa, Kijerumani, Kiitaliano, Kihispania, Kiromania, Kirusi, Kiarabu, Kibulgaria, Kicheki, Kichina, Kichina cha asili, Kidenmark, Kifinlandi, Kigiriki, Kihindi, Kihungaria, Kiindonesia, Kijapani, Kikatalani, Kikorea, Kikroashia, Kinorwei, Kipolandi, Kireno, Kireno cha Brazil, Kislovakia, Kiswidi, Kithai, Kituruki, Kiukrania, Kiyahudi.
Unaweza kujifunza lugha zilizoorodheshwa hapo juu kutoka katika lugha mama 62 za.
Kwa nini app ya FunEasyLearn 🦄?
Hapa FunEasyLearn tunatumia sayansi katika uandaaji wa mchakato wote wa kujifunza lugha ili wewe uweze kukariri maneno na virai kwa haraka zaidi.
Tulihamasishwa na maneno 3,000 BORA yanayotumika zaidi wakati tunaanza kutengeneza programu yetu ya kujifunza lugha. Punde tukapata dira yetu binafsi ya namna msamiati na safu ya virai kwa ajili ya mazungumzo vinavyopaswa kuwa.
Baada ya mchakato mrefu wa utafiti wa lugha, uainishaji wa kikawaida na uchaguzi wa kimkakati wa kila neno na kila kirai, tumetengeneza mfumo wa kipekee wa kujifunza lugha. Mfumo huu wa kujifunza ni njia ya haraka na fanisi ya kuboresha stadi zako za kusoma, kuandika, kusikiliza na kuongea.
Fuatilia upigaji hatua wako, jipatie maua na nyuki, na uvitumie kama malipo ya usajili wa BURE. Hakiki kwa werevu kila kitu unachojifunza na faulu mitihani ili uwe kinara wa vinara wa FunEasyLearn.
Vipengele Bora🏅
★ Imetengenezwa na watafsiri waliothibitishwa na wasanii wa taaluma ya sauti kutoka sehemu mbalimbali duniani;
★ Imebuniwa kwa kutumia vielelezo vilivyochorwa kwa mikono vitakavyopendwa na watoto pamoja na watu wazima;
Jifunze lugha ukiwa na FunEasyLearn
Pata uzoefu rahisi popote duniani. Jifunze jinsi ya kuagiza chakula kwenye mgahawa, kuomba mwelekezo, kuendesha mazungumzo, kufanya biashara na daima tamka sentensi na misemo kwa usahihi. Boresha matamshi yako ya lugha ya kigeni kwa kutumia rekodi zetu za kitaalamu za audio na Utambuaji Usemaji.
Programu ya Jifunze Lugha kutoka FunEasyLearn inaweza pia kuitwa kamusi iliyosheheni alfabeti, maneno mengi, kitabu cha virai. Jifunze na cheza nje ya mtandao. Soma chochote ukitakacho bila ya kulazimishwa kukamilisha somo fulani.
--------
Dhima yetu ni kuzileta lugha zote chini ya paa moja.
Kina mama, kina baba, watoto, wanafunzi, wajifunzaji au walimu, jipatieni elimu ya bure mnayoistahili mkiwa na programu ya FunEasyLearn.
--------
Pakua programu ya FunEasyLearn sasa!
Tushirikishe maoni yako kuhusu programu yetu mpya ya kujifunza lugha! Tuhakiki na tukadirie! Litakuwa jambo kuwa sana kwa timu yetu!
Kuwa rafiki yetu, kuwa huru kuwasiliana nasi:
https://www.funeasylearn.com/
https://www.facebook.com/FunEasyLearn
https://www.instagram.com/funeasylearn/
Ilisasishwa tarehe
6 Nov 2024