Kozi ya Kiholanzi

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.8
Maoni elfu 1.79
elfu 100+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Cheza, jifunze na kuzungumza – gundua virai vya kawaida vya mazungumzo ya Kiholanzi!
✔ Virai 5,000 muhimu vya mazungumzo.
✔ Kujifunza Kiholanzi kwa lugha yako ya asili (lugha 60 zinapatikana).
✔ Programu-tumizi bora zaidi ya BURE ya kujifunza haraka.

Zungumza Kiholanzi kwa ufasaha katika mazungumzo halisi
Ukiwa na programu-tumizi ya Kujifunza Kiholanzi, unaweza sasa kutafiti virai 5,000 vya Kiholanzi ya mazungumzo mafupi huku ukijiburudisha kabisa! Ikiwa wewe ni mtalii aliye katika likizo katika nchi inayozungumza Kiholanzi au pengine wewe ni mtu anayetaka kuongea lugha ya kigeni, programu-tumizi hii itakusaidia kujifunza virai vya Kiholanzi kwa njia ya haraka, iliyo rahisi na ya kufurahisha.

Kwa nini programu-tumizi yetu ya BURE ni tofauti
✔ Hakuna muunganisho wa tovuti unaohitajika – cheza popote utakapo na wakati wowote unaotaka (nje ya mtandao).
✔ Virai 5,000 vya kawaida – sauti iliyorekodiwa ya matamshi na unukuzi kifonetiki ili kukuonyesha jinsi mzungumzaji asili kutoka Uholanzi kweli hutamka.
✔ Michezo 11 ya kufurahisha – njia bunifu ya kufanya mazoezi ya ujuzi wako wa kusikiliza, kuandika na kuzungumza.
✔ Viwango 4 vya kujifunza: anayeanza, wastani, aliye juu kiasi na mtaalam
✔ Mada 20 iliyogawanywa katika mada ndogo 145 – hivyo utajua la kusema na wakati wa kusema kila kirai.

Mada za mazungumzo ya Kiholanzi: Maamkuzi, Mazungumzo na marafiki, Sentensi za msingi, Usafiri, Uchukuzi, Hoteli, Mkahawa, Vyakula, Ununuzi, Kazi, Biashara nk.

Vipengele vingi zaidi vya kuboresha msamiati wako wa Kiholanzi
✔ Tafuta na kualamisha misemo yako ya kawaida kutoka kwenye kitabu cha misemo.
✔ Jipatie pointi wakati ukiendeleza ujuzi wako wa Kiholanzi.
✔ Kipengele cha "kategoria za bila mpango maalum" kinakuruhusu uteu mada, mada ndogo na mchezo bila mpango maalum.
✔ Lugha 60 – ili uweze kukariri na kusema kila kirai kwa urahisi bila kujali nchi uliyotoka.

Kuhusu FunEasyLearn:
FunEasyLearn imeendeleza programu-tumizi nyingi ili kuwasaidia watu duniani kote kujifunza lugha za kigeni bila malipo. Programu-tumizi za FunEasyLearn huboresha ujuzi wako wa Kiholanzi: kuzungumza, kusikiliza na sarufi. Kamusi ya programu-tumizi ina matamshi ya sauti ya binadamu kwa kila kirai cha maneno ya kawaida ili kuboresha ujuzi wako wa kuongea lugha ya kigeni.

Zungumza Kiholanzi kwa urahisi na kwa ufasaha kwa ajili ya usafiri, biashara au burudani!
Ilisasishwa tarehe
11 Nov 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.9
Maoni elfu 1.64

Mapya

- Multilevel Selection Feature added.
- Deaf Mode added.
- Native keyboard feature added.
- Bug fixes and performance improvements.
Lugha asilia mpya, maudhui mapya, ngazi mpya na vipengele vipya vinaongezwa mara kwa mara.

Nyuki wetu ni mzuri katika kurekebisha hitilafu.

Tufuate Facebook, Twitter na Instagram @funeasylearn