Kithibitishaji cha Google huimarisha usalama wa akaunti zako mtandaoni kwa kuongeza hatua ya pili ya kuthibitisha unapoingia katika akaunti. Hii ina maana kuwa, kando na nenosiri lako, utahitaji pia kuweka namba iliyozalishwa na programu ya Kithibitishaji cha Google kwenye simu yako. Namba ya kuthibitisha inaweza kuzalishwa na programu ya Kithibitishaji cha Google kwenye simu yako, hata bila mtandao au muunganisho wa mtandao wa simu. * Kusawazisha namba zako za Kithibitishaji kwenye Akaunti yako ya Google na katika vifaa vyako vyote. Hii inakuwezesha kuifikia wakati wowote hata ukipoteza simu yako. * Kuweka mipangilio ya akaunti zako kiotomatiki kwenye Kithibitishaji kwa kutumia msimbo wa QR. Hii ni haraka na rahisi na husaidia kuhakikisha kuwa namba zako za kuthibitisha zimewekwa ipasavyo. * Kudhibiti akaunti nyingi. Unaweza kutumia programu ya Kithibitishaji kudhibiti akaunti nyingi, kwa hivyo huhitaji kubadilisha programu kila wakati unapohitaji kuingia katika akaunti. * Kuzalisha namba za kuthibitisha zinazotumika ndani ya muda mahususi na kulingana na utaratibu unaoweza kuhesabiwa. Unaweza kuteua aina ya namba za kuthibitisha inayokufaa zaidi. * Kuhamisha akaunti kati ya vifaa kupitia msimbo wa QR. Hii ni njia rahisi ya kuhamishia akaunti zako kwenye kifaa kipya. * Ili utumie Kithibitishaji cha Google kwenye Google, unahitaji kuwasha kipengele cha Uthibitishaji wa Hatua Mbili katika Akaunti yako ya Google. Ili uanze kutumia, tembelea http://www.google.com/2step Ilani ya ruhusa: Kamera: Unahitaji kuruhusu ufikiaji wa kamera ili uweze kuongeza akaunti ukitumia misimbo ya QR
Ilisasishwa tarehe
14 Nov 2024
Zana
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi, Picha na video na nyingine4
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
3.7
Maoni elfu 524
5
4
3
2
1
Mtu anayetumia Google
Ripoti kuwa hayafai
Onyesha historia ya maoni
10 Oktoba 2018
I worked with Google authentication in my iPhone 6 i did not experience any violation of my rights.
Watu 10 walinufaika kutokana na maoni haya
Peter mohamed
Ripoti kuwa hayafai
8 Februari 2022
The best
Watu 5 walinufaika kutokana na maoni haya
Mapya
* Usawazishaji kwenye wingu: Namba zako za uthibitishaji sasa zinaweza kusawazishwa katika Akaunti yako ya Google na kwenye vifaa vyako vyote, hivyo unaweza kuzifikia wakati wowote hata ukipoteza simu yako. * Skrini ya Faragha: Sasa unaweza kulinda uwezo wa kufikia Kithibitishaji ukitumia mbinu yako ya kufunga skrini, PIN au bayometriki. * UX na mionekano iliyoboreshwa: Tumerahisisha utumiaji wa programu na kuifanya ivutie zaidi.