Gmail Go

Ina matangazo
4.3
Maoni elfu 149
500M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Gmail unayoipenda, sasa ni nyepesi na haraka zaidi. Furahia kikasha mahiri ambacho huweka ujumbe wako salama na umepanga. Pokea arifa barua inapofika, kisha usome na ujibu mtandaoni na nje ya mtandao. Gmail Go pia hurahisisha kuambatisha na kushiriki faili. Pia, pata ujumbe haraka kwa utafutaji wa nguvu na mengine mengi.

Ukiwa na Gmail Go, utafurahia:
• Kikasha nadhifu zaidi - Zingatia ujumbe kutoka kwa marafiki na familia kwanza, huku barua pepe za mitandao ya kijamii na za matangazo zimewekwa katika kitengo vizuri kwa wakati una muda.
• Barua taka chache - Akaunti yako hukaa salama na bila vitu vingi kwa sababu Gmail Go huzuia barua taka kabla haijagusa kisanduku pokezi chako.
• 15GB ya hifadhi bila malipo - Sahau kuhusu kufuta ujumbe ili kuokoa nafasi.
• Usaidizi wa akaunti nyingi - Sanidi anwani za Gmail na zisizo za Gmail (Outlook.com, Yahoo Mail, au barua pepe nyingine ya IMAP/POP)
Ilisasishwa tarehe
14 Des 2022

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine10
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.4
Maoni elfu 144
Shija Ngasa
24 Agosti 2023
Nzuri
Mtu mmoja alinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Jamal Said
12 Julai 2020
MR#5 best of the best of Google hapa kazi tu
Watu 5 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Omary Sonky
3 Desemba 2021
Naipenda
Mtu mmoja alinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Mapya

• Bug fixes and performance improvements.