Ingia kwenye mji huu mkubwa & ujifanye unacheza ndani ya mgahawa,supamaketi,uwanja wa ndege, hospitali,kituo cha polisi & zaidi . Vumbua kila kitu ambacho Mji Wa Tizi unatoa ndani ya app hii! Hakuna sheria ndani ya mchezo, unaweza kuvumbua mawazo yako & kuonyesha ubunifu wako.
Mji Wa Tizi unatoa vitu vingi vya kufurahisha:
Uwanja Wa Ndege
Mara zote umekuwa ukitaka kuwa msimamizi wa uwanja wa ndege ✈️ na ufanye kazi ndani ya uwanja wa ndege? Hivyo app hii itakuchukua kwenye msisimko mkubwa! Vumbua kila pembe ya uwanja wa ndege na jiandae kusafiri kwaajili ya mapumziko yako! Onyesha ubunifu wako kwa kusimulia na kucheza-wasifu. ☁️
Mkahawa
Kuwa mpishi #1 na utoe chakula kitamu kutoka kwenye menyu hadi vyakula unavyovipenda. Unda mapishi ya kipekee ya chaguo lako na uonyeshe talanta zako! Gonga na usogeze kila kitu kwenye skrini ili kugundua mshangao wa kichawi!
Shule Ya Kucheza
Unapenda kucheza? Shiriki ndani ya shule ya kucheza & anza kufanya mazoezi na marafiki zako. Fanyia mazoezi miondoko yako kila siku & onyesha ustadi wako.
Kituo Cha Zima Moto
Ndani ya kituo cha zima moto, utakuta gari kubwa lenye taa nyekundu lililobeba vitu muhimu! Utapata vizima moto, simu kubwa, sanduku la huduma ya kwanza, bomba la kuzimia moto na mengi zaidi ndani ya kituo cha zima moto. Ni KAMA halisi!
Hospitali
Ni muda wa kuwa daktari na kuwaponya wagonjwa ndani ya hospitali yako! Huu sio mchezo wa hospitali ya kawaida, ni kitu cha kipekee! Cheza michezo ya udaktari ndani ya hospitali ya kujifanya na uweze kufurahia zaidi.
Gym Ya Ndani & Nje
Kuwa sawa kwa kufanya mazoezi kila siku. Kuna uwanja wa mpira wa miguu & uwanja wa mpira wa kikapu ambapo utaonyesha miondoko yako mikubwa. Vumbua kila pembe ya gym hii sasa!
Wasifu wa app ni:
🏢 Vyumba safi & vizuri vya uvumbuzi.
🏢 Cheza na wahusika wapya wa kufurahisha.
🏢 Gusa, kokota na uvumbue kila kitu na uone nini kitatokea!
🏢 Maudhui rafiki kwa watoto haina vurugu au vitu vya kutisha
🏢 Imetengenezwa kwa watoto wenye umri wa miaka 6-8, ila kilamoja anaweza kufurahia kucheza mchezo huu.
Upo tayari kuvumbua kila chumba ndani ya huu Mji Wa Tizi? Anza sasa kwa kupakua app hii!
Ilisasishwa tarehe
14 Okt 2024